Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Salah apewa ulinzi maalum

MUUNGWANA BLOG / 3 hours ago



Polisi jijini LIverpool wametoa ulinzi maalum kwa kumpa askari wa kumsindikiza nyota wa kikosi cha Liverpool, Mohamed Salah.

Salah raia wa Misri, pamoja na ulinzi wa timu alilazimika kuongezewa askari mmoja ambaye alimsindikiza yeye wakati kikosi hicho kikiingia kwenye uwanja wa ndege jijini hapo.

Liverpool ilikuwa inaondoka kwenda Italia kwa ajili ya mechi yao ya Ligi ya Mabingwa jijini Roma, Italia dhidi ya AS Roma, kesho.

Salah aliongezewa askari kutokana na kiu ya mashabiki kutaka kupiga naye picha, jambo ambalo lilisababisha hali hiyo.

Askari huyo alihakikisha Salah anaingia ndani katika eneo la uwanja wa ndege kabla ya kuungana askari wenzake na wenzake na kuondoka eneo hilo.








 
Binti alienda kwa daktari huku analia kwa uchungu!Mazungumzo yao yalikuwa hivi:
Dr:Unalia nini?
Binti:Nimemtukana boyfriend wangu kwa kumwambia yeye na mbwa mkubwa!
Dr:Heeee!Kwa nini?
Binti:Alikuja na kunibusu!
Dr:Kama hivi?{Anambusu binti}
Binti:Eeeh,hivyohivyo!
Dr:Halafu?
Binti:Halafu akanishikashika matt.
Dr:Kama hivi?{Anamshika}
Binti:Eeh,hivyohivyo!
Dr:Eeh...
Binti:Halafu akanivua nguo zote na kunipandisha kitandani,naye akavua!
Dr:Kama hivi?
Bint:Eeh!
Dr:halafu...
Binti:Tuka do mavituz!
DR:Ka---aaaa--ma hi-viiiiiiiiiiiiiiiiii??
Binti:Eeeeeehhhhh-arrrrrrrsghhhhhhh!!!
Dr:Halafu?
BINTI:Halafu huyo mvulana akaniambia ameathirika na UKIMWI,nA kunionesha vyeti!!!!
Dr:Aaaaaaaaaaaaaaaahhhh,wewe binti ni mbwa,shetani na mwanaharamu mkubwa!!!!!!!!!
 
Jamaa mmoja alikuwa ametulia zake coco beach, akapita mzungu akamuuliza "R U RELAX" jamaa akatikisa kichwa akajibu "NO" baadae akapita tena mzungu mwingine akamuuliza jamaa "R U RELAX" jamaa akajibu "NO, I AM ALEX".

Jamaa akaamua kusogea ahamie mbele, akamkuta mzungu mmoja amekaa zake, akamuuliza "R U RELAX?" Mzungu akajibu "YEAH" jamaa akampiga bonge la kibao yule mzungu, akamwambia kumbe we ndo RELAX mi nimesumbuliwa sana we umetulia tu huku.. Nenda huko wenzako wanakutafuta..
 
Back
Top Bottom