Ni kweli bana, watu wamebadilikaWatu tumekuja kwenye uzi huu na upako na busara za ajabu tunaondoka wala hatueleweki. Beef Lasagna alisema jana kuwa inawezekana aliyeuanzisha ni mfuasi wa Freemason...Sitashangaa kwa sababu mpaka ibada za mashetani na mamizimu zipo....