Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Anayefunga mjamzito na asiye mjamzito wote wamefanya UASHERATI. Sema huyo mjamzito tayari ana alama ya ushahidi.

Hawa wasio wajawazito tunamwachia Mungu awahukumu kwa matendo yao, lakini sisi tutashughulika kwanza na hawa ambao tunaweza kuwashughulikia kwa urahisi (Watapimwa Ukimwi na Ujauzito). Wasipotaka waende bomani halazimishwi mtu.
 
Mimi sina ielewa mkubwa juu ya hili swala ila nashukuru kwa ufafanuzi pia humu kuna mkuu Malcom Lumumba kama akijisikia kuelezea najua atakua na vitu vya ziada.....
Basi itapendeza kama swali hilo tuwapatie wanajamvi wengine.

tafadhari tunaomba ufafanuzi kinagaubaga kwanini israel na palestine wana migogoro isiyo kwisha?

Karibuni wakuu Malcom lumumba,humble africans,shimba ya buyense.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…