Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

30085653_156196265212149_3766485709259538432_n.jpg
Wakikuona Basata wewe!
 
Labda tu compare mwenye hit song nyingi kuliko mwenzie bila hivyo sio rahisi mtu kukwambia flani mkali unless awe shabiki wa msanii tajwa. [emoji16][emoji16][emoji16]

Mwenye hit song nyingi zaidi na most popular songs ni M.J BLIGE

M.J hakubebwa bwana, yeye alivuma kipindi ambacho wasanii wa RnB and Soul walikuwa kweli wasanii.
Kupindi cha wakina Whitney, Braxton, Sade, Lauryn Hill, Brandy..80's,90's hadi 2004 gemu lilikuwa siyo mchezo hasa kwa wanawake.
 
Back
Top Bottom