Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hahahahhaha! Ndo kwanza mwanzo...
Mwambie anyamaze, afute machozi na asonge mbele...Asikate tamaa..
Yatapita tu,
Akishindwa kabisa basi arudi tu kijijini kama sisi afanye kilimo, sema shida ni kwamba vijana wanataka Daslamu.
Kuajiriwa serikalini kuna changamoto zake kubwa sana...kijijini kugumu lakini kuna raha zake ukizoea.
 
30855971_1051294665023437_1137790704190226432_n.jpg
Hapo ndo uzuri wa ngozi nyeusi ulipo
 
Yatapita tu,
Akishindwa kabisa basi arudi tu kijijini kama sisi afanye kilimo, sema shida ni kwamba vijana wanataka Daslamu.
Kuajiriwa serikalini kuna changamoto zake kubwa sana...kijijini kugumu lakini kuna raha zake ukizoea.
Mkuu umezungumza jambo mhimu sana,
Ni kweli Vijana wengi kwa sasa hawataki kazi ngumu ingawa wanahitaji maisha ya juu,
Hawapendi tena vijijini hata kama wazazi wao wako vijijini.

Hawajui vijijini kuwa ni sehemu nzuri sana ya kuanzia kimaisha,
Wanatakiwa waelewe kuwa ajira ni chache mno ukilinganisha na jinsi vyuo vinavyozalisha wahitimu kila mwaka.
 
Hapana mimi nina TECNO Mchina nao wenyewe nilipewa.
😀😀😀😀😀😀😀
Usinambie [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hiyo Milioni 1.7 ni hela kubwa sana kwangu bwana: nikiwa na simu ya hivyo watoto walala njaa miezi.
Mengine nayaacha yapite tu, 🙄😵😱😕😕😕
 
Mkuu umezungumza jambo mhimu sana,
Ni kweli Vijana wengi kwa sasa hawataki kazi ngumu ingawa wanahitaji maisha ya juu,
Hawapendi tena vijijini hata kama wazazi wao wako vijijini.

Hawajui vijijini kuwa ni sehemu nzuri sana ya kuanzia kimaisha,
Wanatakiwa waelewe kuwa ajira ni chache mno ukilinganisha na jinsi vyuo vinavyozalisha wahitimu kila mwaka.

Tanzania kuna unhealthy Dependency Ratio kwasababu vijana wengi hawazalishi kwa kiwango ambacho kinategemewa. Nchi nzima na Serikali inategemea wafanyakazi wa Serikali ili kujiendesha, idadi ya watu ambao hawavuki hata milioni moja. Vijana kuazia miaka 15-54 wako Asilimia 48% huku wazee kuanzia miaka 55-64 wako Asilimia 6% tu. Sasa inamaana hawa vijana wakianza kufanya kazi za uzalishaji hatuwezi shindwa kulea Wazee. Pato kubwa la taifa litaenda kwa watoto, hivyo nadhani kama taifa tunahitaji kuwawezesha vijana ili kupunguza hata mzigo kwa wafanyakazi wa Ummah.

Wapeleke huduma za msingi kama Hospitali, Maji na Umeme kwenye sehemu za ndani ili kuwavutia watu wakaishi huko. Vijana wanapenda mjini kuliko kijijini lakini lazima tukumbuke kwamba kuna Pull-Factors ambazo zinawafanya wawe hivyo.
 
Back
Top Bottom