Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Tanzania kuna unhealthy Dependency Ratio kwasababu vijana wengi hawazalishi kwa kiwango ambacho kinategemewa.
Nchi nzima na Serikali inategemea wafanyakazi wa Serikali ili kujiendesha, idadi ya watu ambao hawavuki hata milioni moja.
Vijana kuazia miaka 15-54 wako Asilimia 48% huku wazee kuanzia miaka 55-64 wako Asilimia 6% tu. Sasa inamaana hawa vijana wakianza kufanya kazi za uzalishaji hatuwezi shindwa kulea Wazee. Pato kubwa la taifa litaenda kwa watoto, hivyo nadhani kama taifa tunahitaji kuwawezesha vijana ili kupunguza hata mzigo kwa wafanyakazi wa Ummah.
[emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106]
 
Tanzania kuna unhealthy Dependency Ratio kwasababu vijana wengi hawazalishi kwa kiwango ambacho kinategemewa. Nchi nzima na Serikali inategemea wafanyakazi wa Serikali ili kujiendesha, idadi ya watu ambao hawavuki hata milioni moja. Vijana kuazia miaka 15-54 wako Asilimia 48% huku wazee kuanzia miaka 55-64 wako Asilimia 6% tu. Sasa inamaana hawa vijana wakianza kufanya kazi za uzalishaji hatuwezi shindwa kulea Wazee. Pato kubwa la taifa litaenda kwa watoto, hivyo nadhani kama taifa tunahitaji kuwawezesha vijana ili kupunguza hata mzigo kwa wafanyakazi wa Ummah.

Wapeleke huduma za msingi kama Hospitali, Maji na Umeme kwenye sehemu za ndani ili kuwavutia watu wakaishi huko. Vijana wanapenda mjini kuliko kijijini lakini lazima tukumbuke kwamba kuna Pull-Factors ambazo zinawafanya wawe hivyo.
Kwa maana hiyo walaji wengi wazarishaji wachache
 
30855971_1051294665023437_1137790704190226432_n.jpg
Hii picha haichoshi kuangalia walah
 
Kwa maana hiyo walaji wengi wazarishaji wachache
Ndiyo maana wafanyakazi wanapolalamika mimi nawaelewa kabisa, mzigo wao ni mkubwa sana sana. Hakuna unafuu wala sehemu ya kupumulia kwenye maisha. Makato yao ni makubwa sana, halafu upande wa pili mfumuko wa bei ulioachwa na Jakaya Kikwete mpaka leo uko pale pale na kuna bidhaa zinapanda gharama bado. Kibaya zaidi ni kwamba walikuwa wanategemea mikopo ili kuishi lakini siku hizi mikopo hawachukui sana kwasababu Riba zimepanda tokea Asilimia 18% hadi 21%.. Nani atachukua mkopo wakati Riba ni kubwa bila mshahara kupanda ???

India Dependency Ratio ina afya kuliko hata Uchina, Vijana ni Asilimia 67% na wezee ni wachache sana. Na wamejitahidi sana kuhakikisha kwamba hawa vijana wanafanya kazi za uzalishaji "Manufacturing Jobs". Hivyo tunavyosema kwamba kuna tatizo kitaalamu watu wanasema sisi ni wanasiasa Uchwara, lakini ukweli mchungu bila kuleta siasa ni kwamba mambo siyo mazuri sana kama hatutachukua hatua za stahiki kuwasaidia hawa wafanyakazi.
 
Back
Top Bottom