ho chi minh
JF-Expert Member
- Sep 27, 2016
- 32,904
- 163,077
Gonga likes, pata likesHatupoi
Hongera kwa mvua, pia kila la kheri kwa juaLeo jua limeonekana..baada ya mvua ....
Hatupoi nini maana yake?Gonga likes, pata likes
Uko sahihi lakiniMauti yameumbwa, uhai umeumbwa. Hivyo kifo kipo, ingawa kawaida yetu ya kibinadamu kila kikitokea kifo lazima fuje na sababu