Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mauti yameumbwa, uhai umeumbwa. Hivyo kifo kipo, ingawa kawaida yetu ya kibinadamu kila kikitokea kifo lazima fuje na sababu
Hapana. Lazima tutafute sababu kwa sababu vifo vingine vinazuilika. Tabia ya kutafuta sababu na kudodosa dodosa ndiyo imefanya mortality rates ipungue na life expectancy izidi kuongezeka mwaka hadi mwaka. Mpaka sasa binadamu anafikiria pengine kwa kuweza kuchokonoa baadhi ya genes anaweza kurefusha uhai wake hadi kufikia karne kadhaa. Tena anasaili dhana nzima ya uhai; na maarifa mapya ya AI (Artificial Intelligence) yanamfanya aanze hata kuamini kuwa inawezekana hata kuishi milele kama tu kuwa hai ni kuwa na kumbukumbu, urazini na maarifa ya maisha uliyoyapitia.

Wanamuziki wengi wa kipindi hicho wengi wao waliondoka na kale ka ugonjwa ambako wakati ule kalikuwa bado kapya...Tusikisingizie kifo kwa kila kitu [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Kalikoitwa ugonjwa wa kisasa ingawa kana zaidi ya miaka 30.
 
Mabo zenu wazee wa like
Nawe uwe unatoa likes kwa wenzako basi mkuu? Jisikie huru. Mwaga materials hapa ya kila aina, toa likes, kula likes na uzi unasonga...
20180129_163815.jpg
 
Back
Top Bottom