Mr. Mwasomolwa Mwakiugali [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Swali hujakamirisha kujibu mkuuSuleimani Mwanyiro RIP
Nani kama mama?
Kale kaugonjwa kalipokuja kaliondoka na wengi sana. Wanamuziki kulingana na taaluma yao na mazingira ya kazi yao kupona ilikuwa siyo rahisi. Wapumzike kwa amani.Niliuliza kwa nini wanamziki wengi wali r.i.p hasa kuanzia miaka 90?
Toka kijijini mwakatumbo.Mr. Mwasomolwa Mwakiugali [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hizi mbwembwe sasa [emoji16][emoji16][emoji16]
Abuu Semuhando RIIP
Naona umemjibia moudgulf maana hakuwa akijibu sawasawa.Kale kaugonjwa kalipokuja kaliondoka na wengi sana. Wanamuziki kulingana na taaluma yao na mazingira ya kazi yao kupona ilikuwa siyo rahisi. Wapumzike kwa amani.
MCD RIP
Ramadhani Masanja "Banzastone" RIP
Hamis Amigo Amigoras RIP
Robert Hegga Katapilla
TX Moshi William RIP
Joseph Maina RIP