Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mafundo ya aina nyingi yalitumiwa kufunga skafu hizo. Katika visa fulani utepe wa hariri uliwekwa juu ya skafu ili kuishikilia kisha ikafungwa katika fundo kubwa chini ya kidevu. Mtindo huu wa tai uliitwa solitaire. Fundo hilo lilishabihi bow tie ya kisasa. Yasemekana kwamba kulikuwa na angalau njia mia moja za kufunga skafu. Yasemekana kwamba Mwingereza Beau Brummell, aliyechangia sana mitindo ya mavazi ya wanaume, alitumia asubuhi nzima kufunga skafu moja ili kuhakikisha iko sawa kabisa.
Tulikuwa tunafundishwa jinsi ya kufunga tai kwenye makambi ya Waadventista Wasabato karne zileee...Bado nakumbuka aisee...
 
He said it was a choice (Back in days not today). Does this make any sense? Mkuu si unajua black american histry?
Black american originated from africa for 50% it was a choice,eg from our puppet leaders who collaborated with whites instead of their fellow africans. Slave trade started in Africa before industrial revolutions. Waafrika ni waafrika tu tukichimba kauli ya kanye kuna ka ukweli hapo.
 
Back
Top Bottom