Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

He said it was a choice (Back in days). Does this make any sense? Mkuu si unajua black american histry?

Nadhan anakosea sana, amesahau or may be hajui babu zake walipotoka.
Naamini yuko sahihi. It was a choice. It is still a choice. Sema tu watu huwa hatutaki kuambiwa ukweli. Unafikiri hao wazungu walikosa kwingine koote huko mpaka wakaja kutubeba sisi...

Leo mambo si yale yale? Au kwa vile minyororo ya sasa haionekani?
 
Black american originated from africa for 50% it was a choice,eg from our puppet leaders who collaborated with whites instead of their fellow africans. Slave trade started in Africa before industrial revolutions. Waafrika ni waafrika tu tukichimba kauli ya kanye kuna ka ukweli hapo.
Nakuelewa .. najua unaelewa kuhusu puppets leaders unaowazungumzia. My stand is wth those slaves, ambao ni origin ya kina Kanye. Ni kweli walichagua kua slaves??
 
8AD55B64-4885-4BA8-AD4F-D6FD6562441B.jpeg
 
Back
Top Bottom