carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Heeeee[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]
Punguzeni umbea
Punguzeni umbea
Mimi nadhani ni kiherehere cha viongozi wetu ndo kilituponza.Ni sawa na kuuliza watanzania wote ni sawa kuteseka kisa magu ni rais na kuambiwa walimchagua wenyewe?choice ya wachache inaathiri umati wa wengi mno
Mwenzangu hadi tunaonekana tunajiongelesha wenyewe[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Yaani hadi naona aibu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji124] [emoji124] carba pris niwacheWatu wamekula buyu[emoji23][emoji23][emoji23]
Hizi ni style za anza wewe ama acha tuwakomeshe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji261]la leo kali sana
Mwenzangu hadi tunaonekana tunajiongelesha wenyewe[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Yaani hadi naona aibu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kabisaaa tena mviziano mkali[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ulijikisiaje? Unafikiri ulikuwa na hadhi ya kumuoa? Pole hasa kama kweli kweli ndo ulikuwa umempenda mazima...kuna dada moja mrembo nilitaka kuoa akasema mimi sio hadhi yake anataka kuolewa na mzungu.
Pole.Yaani hadi naona aibu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji124] [emoji124] carba pris niwache
Aisee!Hiyo Milioni 1.7 ni hela kubwa sana kwangu bwana: nikiwa na simu ya hivyo watoto walala njaa miezi.
Mengine nayaacha yapite tu, 🙄😵😱😕😕😕
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] ngoja nitoke kidogoWazi maa[emoji106][emoji106][emoji106]
Hahahahahahah!Aisee!
Kweli mengine yapite tu hakuna namna.
Mwenzangu hadi tunaonekana tunajiongelesha wenyewe[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Dah we upo wapi? [emoji23] [emoji23]
Kwema bro Shedede?Aisee!
Kweli mengine yapite tu hakuna namna.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Si kwa michambo hii