Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji124] [emoji124] [emoji124][emoji124] [emoji124] [emoji124] natanga na njia ee natanga na njia natafuta ubuyu lakini wamenibaniaaa shidaa juu ya shidaaaa mambooo juu ya mambooo huku na huko nahangaika kusuntwa mbeeaaa eeee kunyimwa ubuyu eeee lakini likes zipoooooo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Punguzeni umbea
 
Hongera bro....Ungezubaa angekuvunjua self confidence yako. Na watu hawe wenye dharau mara nyingi mambo yao huwa hayawaendei vyema. Usije ukashangaa huko mbele ya safari mkigongana akakuomba upashe kiporo [emoji16][emoji16][emoji36]
ha ha mkuu unajua wanawake huwa wanaangalia na aina ya mwanaume wakikuona unajipenda na unathamini maisha yako anajua huyu ndo mtu sahihi na ata ukiingia kwenye mahusiano naye hataleta mambo ya kijinga lakin kosea ujifany unathamini maisha yake kuliko wewe utaumia sana.
 
Hapa unaongelea choice, they chose him. let the consequences accordingly. Talking abt those men unwillingly, forced to .. wamesalitiwa. Haiwezi kua chaguo lao kua slaves. PERIOD!
Alichokiongelea kanye ni kitu kidogo kwa kukiangalia juu juu ila kwa ndan ni kikubwa na kirefu mno walisalitiana wao kwa wao na masultan,watemi,wafalme walikua maajent wa kukamata na kuuza watumwa,hao waafrika waliopo america wametokea huku so chimbuko linaanzia slavey mode of production kama sio feudalism
 
[emoji124] [emoji124] [emoji124][emoji124] [emoji124] [emoji124] natanga na njia ee natanga na njia natafuta ubuyu lakini wamenibaniaaa shidaa juu ya shidaaaa mambooo juu ya mambooo huku na huko nahangaika kusuntwa mbeeaaa eeee kunyimwa ubuyu eeee lakini likes zipoooooo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
mh maneno tata mpaka raha.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ila nyiee
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] leta basi hata lyrics watu tuburudike jaman
 
Upo...

Umebadilika kidogo tu ila weusi bado wanahenya japo hawana minyororo. Ni sawasawa na sisi tunavyoendelea kuhenya japo wakoloni hawapo.
No you are wrong. Kama upo in America, then its by choice na hii si tafsiri ya Kanye. He is wrong, you are wrong.

Hii ya Africa utake ustake ni mfumo tu. Economic slavery, refer kwako wew na house girl wako/ ama mtumishi wako yeyote.
 
Alichokiongelea kanye ni kitu kidogo kwa kukiangalia juu juu ila kwa ndan ni kikubwa na kirefu mno walisalitiana wao kwa wao na masultan,watemi,wafalme walikua maajent wa kukamata na kuuza watumwa,hao waafrika waliopo america wametokea huku so chimbuko linaanzia slavey mode of production kama sio feudalism
tatizo lilikuwa viongozi walichezeana karata kama ilivyo leo kongo vita vya kila siku viongozi wanaelewa kinachoendelea nyuma ya pazia.
 
Back
Top Bottom