Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Grace Bol by Dario Catellani
51e75d83-e803-4f99-8336-48a2d3cee124.jpg
 
Alichokiongelea kanye ni kitu kidogo kwa kukiangalia juu juu ila kwa ndan ni kikubwa na kirefu mno walisalitiana wao kwa wao na masultan,watemi,wafalme walikua maajent wa kukamata na kuuza watumwa,hao waafrika waliopo america wametokea huku so chimbuko linaanzia slavey mode of production kama sio feudalism
You are right and they did betray their fellow Africans yea .. unajua hapa kuna groups watawala na raia. watawala ni wa Africa ambao hawajawai kua slaves, raia ni slaves na ndio Kanye anawanyooshea vidole. Kwa situation hii, choice inatoka wapi kwa huyu raia? Kanye ana make sense?? Kama ingekua ni choice kwanin wali fight getting their freedom back??
 
Back
Top Bottom