Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Bae: Shivukhulu.. Tell me how much you love me[emoji18][emoji7]

Shivukhulu:Count the stars in the sky[emoji6]

Bae: awww [emoji8][emoji8] so many .. Infinite

Shivukhulu: No... It's a waste of time[emoji19][emoji19][emoji57][emoji57]....
 
445209630_342454.jpg
 
Kufikia sasa, Cristiano Jr tayari amepata baadhi ya ujuzi na ustadi wa babake wa ufungaji mabao.
Hapa chini, tunaangazia baadhi ya mambo mengine ambayo mwana amefunzwa na babake, akarithi au kuiga.
Kufanya mazoezi makali
Cristiano Jr kawaida huenda kwenye 'gym' kwa mazoezi makali akiandamana na babake.
 
Ufungaji penalti
Ronaldo baba amekuwa stadi sana wa kufunga mikwaju ya penalti ambapo amefunga zaidi ya penalty 100 katika maisha yake ya uchezaji.
Si ajabu kwamba amemfunza mwanawe kufunga mikwaju hiyo.
"Ukishindwa kufunga utalazimika kufanya 'push-ups' 10," Ronaldo anasema, kabla ya kumpa mwanawe mpira ajaribu mara tatu kufunga.
 
Junior alichukua fursa hiyo, ya kwanza akakosa na pili akagonga mwamba wa goli. Lakini jaribio la tatu akafunga.
"Lakini nimefunga," Cristiano Jr anasema kabla ya Ronaldo kumwambia: "Zifanye hata hivyo [push-ups]. Si kitu, ni 10 pekee
 
Junior amefunza hata kusherehekea baada ya kufunga mabao, ingawa hamfikii babake kusema kweli.
Kupiga selfie
Iwapo huwa unamfuatilia sana Ronaldo mitandao ya kijamii, utagundua kwamba yeye ni stadi wa kujipiga picha. Mwanawe hayuko mbali pia. Faida gani ufanye mazoezi na kuujenga vyema mwili kisha usiwaoneshe wengine na kuringa?
 
Mitindo
Wachezaji soka huhitajika kuonyesha hadhi na haiba yao nzuri kwa mavazi na mitindo ndani na nje ya uwanja. Ndio maana huonekana wakiwa na mavazi ghali na magari ya kifahari.
Cristiano Jr anafahamu hilo bila shaka, anajua mtu anavyohisi akiwa ndani ya gari la thamani ya £2.15m.
 
Back
Top Bottom