Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji116][emoji116][emoji116]
IMG-20180428-WA0000.jpg
 
Mshambuliaji Andy Carroll, 29, huenda asishirikishwe katika mechi muhimu ya West Ham dhidi ya Leicester siku ya Jumamosi baada ya mgogoro na meneja david Moyes katika mazoezi. (Guardian)
 
Nini mbaya na kenyan journalists kweli? Mimi uyo nmejichocha nawatch game ya kenyan premier league kidogo kidogo bao ikafungwa alafu naskia commentator amesema "Uyoo katoa ndaaani kitu" [emoji23][emoji23][emoji23]..adi sai sijaelewa alikuwa anamaanisha nini[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom