ho chi minh
JF-Expert Member
- Sep 27, 2016
- 32,904
- 163,077
Ma steroids yanawaharibu...Wanazeeka wakiwa wadogo. Na wengi wanaondoka na cardiovascular diseases...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hapo mvuto utatokea wapi sura nzima iko na muscles.Mbona hata sura zao siyo za kike?