Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Tuna safari ndefu sana bro.Ni ujinga tu bro...Hata mambo ya kitaalamu mianasiasa imo tu. Sidhani hata kama wameosha mikono. Wangevaa angalau gloves...
Inaweza ikawa mvurugo/mvurugano.Hasira na nini mkuu
Serious bro?“Mtu una mke mmoja,huna mchepuko, pombe hunywi, club huendi, halafu mnasumbua kuongezewa mshahara wa nini sasa..!”
_Huo utakuwa uaribifu Wa Mali_
[emoji57][emoji57][emoji57][emoji57]
Kuna thamani ya kukasirikaInaweza ikawa mvurugo/mvurugano.
Hawa ndio walio singiziwa jinsia hawa.
[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji119] [emoji119]GGM, Nyang'wale
Kwa sasa kwenye market ipo around 500k-650kpesa ngap mkuu.