Tragedy of Africa broYaani hata proof reading tu kuhakikisha kuwa vitabu vilivyogharimu mabilioni havina makosa hatuwezi. Kitabu kweli kinakwenda kwende mass production kwa nchi nzima wakati kina picha ya twiga lakini maelezo yanasema "This is a flower". HATUKO SIRIAZI...
Mie wa hivyo hanichomi hata kidogo.Wamesomea uganga hawa? Kushindiliwa lisindano na mtu ambaye hajui huwa inauma balaa [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 764353
Alafu kapiga na picha wanasiasa bhanaWamesomea uganga hawa? Kushindiliwa lisindano na mtu ambaye hajui huwa inauma balaa [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 764353
Hata ukiangalia vizuri unaona tu kuwa huyu hajui anachokifanya. Mtu unatoka hapo limkono linakwenda kuvimba. Kisa?Kuna siku watakuja kuingia hata theatre kufanya operesheni hawa. Wanasiasa bana !!!
View attachment 764350
Tasfiri ni moja tu mkuu.Asee, mkuu angalia kidole cha kati kina tafsiri nyingi hicho
Uko mtoto. Ndiyo umechaguliwa wewe. Watu wanajipendekeza. Utafanyeje?Mie wa hivyo hanichomi hata kidogo.
Ni ujinga tu bro...Hata mambo ya kitaalamu mianasiasa imo tu. Sidhani hata kama wameosha mikono. Wangevaa angalau gloves...Alafu kapiga na picha wanasiasa bhana
Hasira na nini mkuuHasira ikimzidi akili kinachotokea.........?
Yaani hanichomi hata kidogo.Uko mtoto. Ndiyo umechaguliwa wewe. Watu wanajipendekeza. Utafanyeje?
Maana halisi ya siasa ni umasikini + carelessHata ukiangalia vizuri unaona tu kuwa huyu hajui anachokifanya. Mtu unatoka hapo limkono linakwenda kuvimba. Kisa?