ho chi minh
JF-Expert Member
- Sep 27, 2016
- 32,904
- 163,077
Mkali waoPoa poa Mkali...
Mkali waoPoa poa Mkali...
Nawe jitahidi kugongaGonga like hapa
DumilaSalaam MOROGORO, Jambo Bwakira, Mngazi, Dakawa, Kisaki
Njema mkuu na kwako piaAlhamisi njema wapendaView attachment 764192
MvutiSalaam Pwani, Jambo Kongowe, Mwandege,Vikindu, Kisemvule, Dundani, Mkulanga
Safi mkuu. Nakuona...Kazi za kukesha hizi...
I don't know bout you but it ain't a crimeEveryone falls in love sometime
Kama wewe ulivyo fall kwa baby S Alafu kakukachaUko sawa
Yaani hata proof reading tu kuhakikisha kuwa vitabu vilivyogharimu mabilioni havina makosa hatuwezi. Kitabu kweli kinakwenda kwende mass production kwa nchi nzima wakati kina picha ya twiga lakini maelezo yanasema "This is a flower". HATUKO SIRIAZI...Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Joyce Ndalichako amesema watumishi 22 wa Taasisi ya Elimu Tanzania wamesimamishwa kazi kwa kuisababishia Serikali hasara ya kuchapisha vitabu vyenye makosa.
“Kuna watumishi 22 wa Taasisi ya Elimu wamesimamishwa kazi na hatutaishia kuwasimamisha kazi tu, bali kuangalia hatua za kuwachukulia kwa sheria zipi zitahusika kwani wameisababishia Serikali hasara.”
JakitooI don't know bout you but it ain't a crime
Tory lanez[emoji444]
Wabeja namhala omang'hwani !!!Salaam SHIMBA YA BUYENZE, Jambo jakitoo