Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

20180503_051134.jpg
 
[emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]
445419528_335841.jpg
 
Staa wa muziki ambaye hivi karibuni aliingia matatani baada ya video yake ya utupu kuvuja mtandaoni, anasema baada ya kupata taarifa hiyo alizimia na kulazwa hospitali siku mbili.

Akizungumza leo katika kipindi cha Leo Tena kinachorushwa na kituo cha redio Clouds, Nandy amesema mshangao uliompata ulimsababishia kupoteza fahamu na alipozinduka alijikuta akiwa katika kitanda cha hospitali.
 
Rais Kenyatta awaomba radhi Wananchi wake bungeni

MUUNGWANA BLOG / 16 minutes ago




Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta amewaomba msamaha wananchi wake wakati akilihutubia bunge la nchi hiyo ikiwa kuna jambo baya ambalo alilifanya likawaumiza wananchi wake, kwa njia yoyote ile ikiwa ni pamoja na kushindwa kuwaunganisha kipindi cha uchaguzi.

Kenyatta ameoomba msamaha huo mapema jana wakati akilihutubia bunge la nchi hiyo ikiwa ni kawaida kwake kulihutubia bunge mara moja kwa mwaka.

"Forgive me. Nisameheni tuungane, tushirikiane kurekebisha majeraha tusahau yaliyopita," amesema Rais Kenyatta ambapo inaaminika alitumia saa moja na dakika 22 katika hotuba yake.

Akizungumzia kuhusu yeye kukutana na Kiongozi wa Muungano wa Upinzani nchi Kenya , Kenyatta amesema kwamba

“Wakati tulipokutana mimi na yeye (Odinga) mapema mwaka jana tulikubaliana kufanya kazi pamoja ili kuijenga nchi yetu hii. Tunaimani kabisa kwamba tutatumia muungano wetu kutatua kero za Wakenya".
 
Nandy anasema kutokana na hali ya kuchanganyikiwa hata baada ya kuzinduka hakujielewa na ilimchukua siku kadhaa kuelewa kilichomtokea.

“Ingawa nililazwa uongozi wangu ulilazimika kunikumbusha kwa sababu nilikuwapo kama sipo,” anasema.
 
Akizungumzia jinsi alivyopata taarifa za uwepo wa video hiyo katika mtandao anasema alipigiwa simu na meneja wake aliyemtambulisha kwa jina moja la Salehe.

“Meneja wangu alinipigia simu akaniuliza umeiona video mtandaoni, nikamuuliza video gani lakini kwa bahati mbaya simu ikakatika,” anasema.
 
Baada ya simu hiyo kukata aliona namba ngeni ikiita na kuipokea ndipo mtu aliyejitambulisha kama shabiki akaanza kumlaumu kwa kufanya mambo machafu.

Anasema alimkatia na kupokea simu ya meneja wake ambaye alimwambia aende katika ukurasa fulani wa Instagram kuitazama video hiyo.
 
Back
Top Bottom