Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hahah! kwa sasa hv lakini....

Pia mana utahofia kupata majeraha istoshe hauna cha kupambania zaidi ya kukamilisha ratiba...

All in all game itakua kali tu mana el clasico ni mechi kubwa duniani inaheshima yake ukimfunga mpinzani
Sana Bro, hatuna cha kupoteza kwenye ligi now tunaangalia UEFA pekee, sema tutataka kulinda heshima tu
 
Manchester United imempatia kipau mbele beki wa kushoto wa Juventus na Brazil Alex Sandro, 27, kuchukua mahala pake beki wa kushoto wa Uingereza Luke Shaw, 22, msimu ujao. (Manchester Evening News)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…