Ndiyo kwanzaaaa imeanza kupamba motoSiku inaaga
Pia hata usalama wao unakuwa mdogo, unaenda kukutana na mtu usiyemfahamu anything can happen na unakuwa ndo mwisho wako,, ni nzuri wanaisifia lkn ni risk kwa maisha yao pia
Ni km ule msemo uliopo kwenye parking nyingi za magari mjini "parking at own risk" na hii biashara pia ipo hivo hvo
Amen [emoji120][emoji120]
Wewe enzi zako ni hizi hapa...😀😀😀😀[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]