MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 21,775
- 71,893
Knew it...Evil eye remover
Have you removed yours au wewe uko swafiii ???
😀😀😀😀
Knew it...Evil eye remover
Chelsea inataka kulipwa kitita cha £10m ili kumuuuza kiungo wa kati wa Uholanzi Marco van Ginkel, 25, ambaye ameshiriki katika ligi ya Premia kwa dakika 11 pekee (Football.London)
Kiungo wa kati wa Southampton na Gabon Mario Lemina, 24, anasema kuwa hafikirii kuhusu hatma yake na kwa sasa anajaribu kuisaidia timu hiyo kutoshushwa daraja kutoka katika ligi ya Premia msimu ujao (Reuters)
Burnley inapanga kuwasajili beki wa Bristol City Joe Bryan, 24 kwa kitita cha £6m. (Mirror)
Wewe enzi zako ni hizi hapa...😀😀😀😀
Burnley inapanga kuwasajili beki wa Bristol City Joe Bryan, 24 kwa kitita cha £6m. (Mirror)
Niko swaafi my dearKnew it...
Have you removed yours au wewe uko swafiii ???
😀😀😀😀
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] lekakaKuna watu
Sasa kama uko nje ???Niko swaafi my dear
Iyo symbol inawekwa nyumbani kwako!
Mgeni akija na jicho baya halikupati!
IMANI

Katika kipindi cha miaka kadhaa iliopita , mwezi mkuu umelaumiwa kwa kusababisha kila kitu ikiwemo ongezeko la uhalifu, kusababisha kichaa mbali na ongezeko la wazazi wanaojifungua watoto.
Lakini je unaweza kuwa sababu ya baadhi yenu kushindwa kupata lepe la usingizi wiki hii?
Huenda sio vinjwaji ama hata muda uliochukua kutazama runinga ama kompyuta ambayo imekuweka macho.

Ewaaaaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]