Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

IMG_20180503_201626_456.jpg
 
MSIMU WA 2004-2005.

1.Liverpool ilimfunga Fc Porto kwenye Uefa.

2.Michael Owen aliyekuwa akivaa jezi namba 10 kulazimisha kwenda Real Madrid.

3.Liverpool ilifungwa mabao 2-1 na Manchester United Old Trafford, Sylvester akifunga bao 2 huku O'shea akijifunga.

4.Liverpool iliitoa klabu ya Uingereza kwenye Uefa ambayo ni Chelsea.

5.Liverpool ilikuwa na mchezaji kutoka Senegal ambaye ni Salif Diao.

6.Liverpool ikabeba taji la UEFA msimu huo.

MSIMU HUU WA 2017-2018.

1.Liverpool imeifunga Fc Porto kwenye Uefa.

2.Philippe Coutinho aliyekuwa anavaa jezi namba 10 kulazimisha kwenda Barcelona.

3.Liverpool imefungwa mabao 2-1 na Manchester United Old Trafford, Rashford akifunga bao 2 huku Bailly akijifunga.

4.Liverpool imeitoa klabu kutoka Uingereza kwenye Uefa ambayo ni Manchester City.

5.Liverpool ina mchezaji kutoka Senegal ambaye ni Sadio Mane.

6.Je, Liverpool itaweza kubeba Champions League kutokana na tukio la mwaka 2005 kujirudia msimu huu???

YANGU MACHO!!
 
Tunasubiri tuone....
 
Klabu ya ligi ya Major League nchini Marekani DC United ina hamu ya kumsajili mshambuliaji wa Atletico Madrid na Uhispania Fernando Torres, 34, au mshambuliaji wa Boca Juniors na Argentina Carlos Tevez, 34. (Goal)
 
Back
Top Bottom