''Sio miongoni mwa yale maswala ambayo hayawezi kuaminika hivyobasi kupata athari zake ni muhimu sana'', alisema. he said.
Hatahivyo hakujakuwa na utafiti mwengine wowote uliofanywa baada ya utafiti huo.
Pia amesema kuwa iwapo watu wanaripoti kutopata usingizi mzuri baada ya mwezi mpevu huenda ni mfano wa kuthibitisha hilo.
Mwezi mpevu huathiri macho na watu wanauhusisha na kukosa usingizi huku mwezi mdogo ukionekana bila kusabbaisha athari.
''Miezi mikuu huandikwa katika shajara za watu. Kila mtu anaandika kuhusu miezi mikubwa siku hizi'', alisema.