Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

2.MWEZI UNA UKUBWA GANI?
Mwezi sio mkubwa kama sayari ya Dunia, Eneo la ukubwa wa mwezi ni asilimia 27% tu ya ukubwa wa eneo la dunia, ni sawa na kusema ukubwa wa mwezi unakaribiana na ukubwa wa bara la Asia japo bara la asia nalo pia ni kubwa kidogo kuliko eneo la mwezi.
AU tunaweza sema kama dunia ingekua na ukubwa sawa na Sarafu ya shilingi 500 basi Mwezi ungelingana na ukubwa wa punje ndogo ya maharage. Uzito wa Duni mara 81 zaidi ya uzito wa mwezi.
Mwezini hakuna madini ya chuma wala mwezini hakuna kabisa maji.
 
3. JE MWEZI ULITOKEA WAPI AU ILIKUWAJE UKAWEPO SEHEMU ULIPO SASA?
Wanasayansi walikuna vichwa sana katika kutafuta majibu ya maswali mengi yaliyoulizwa kuhusu chanzo cha mwezi. Japo kuna nadharia mbalimbali (Nne zinazofahamika kwa mujibu wa Shirika la Anga za Juu la Marekani -NASA) zinazojaribu kuelezea chanzo cha mwezi. Nadharia hizo ni
(a) FISSION THEORY
(b) CAPTURE THEORY
(c) CONDENSATION THEORY
(d) GIANT IMPACTOR
 
Nadharia zote hizi zinajaribu kuelezea namna mwezi ulivyotokea na mpaka ukawepo sehemu ulipo sasa, lakini katika nadharia tatu za mwanzo ilionekana bado zina madhaifu na zinaendelea kuibua maswali badala ya kujibu maswali.
Ndipo ilipoibuka Nadharia hii ya mwisho ya GIANT IMPACTOR ambayo ndiyo hasa ilikuja kujibu maswali mengi juu ya asili ya mwezi na hii iliibuka katikati ya miaka ya 70 baada ya wanasayansi kutuma vyombo vya anga kwenda mwezini na kuleta udongo wa mwezini uliotumika katika utafiti wa kujua chanzo chake
 
GIANT IMPACTOR THEORY
Nadharia hii Inaeleza kuwa kitu chenye ukubwa sawa na sayari ya MARS kiligongana na kukwaruzana na DUNIA miaka bilioni 4.5 iliyopita. Vipande vipande vilivyovunjika kutokana na mkwaruzano wa dunia na Kitu hicho ( MARS EVIL TWIN) vilitupwa na vikajikusanya pamoja umbali wa kilometa 384,400 kutoka katika sayari yetu ya dunia ndipo vikatengeneza Mwezi. Kitendo hiki kilifanyika katika muda kama wa mwaka mmoja tu.
Kipindi mwezi unatengenezwa ulikua katika umbo la uji uji kama wa volcano (Magma Ocean) lakini katika kipindi cha miaka millioni 100 uji huo uliganda na kutengeneza jiwe kubwa linaloelea angani ambalo ndio Mwezi (Luner Crust)
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ipo siku ipo siku tyuuuu na mie ntakua na jezi mbili[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] utajiongelesha na kujijibu mwenyewe aiiii[emoji445] [emoji445]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ipo siku ipo siku tyuuuu na mie ntakua na jezi mbili[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ya aseno na maniyu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom