Humu ndani?Wengii[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hamna mnanisingizia tu hahahaAisee,numbisa mchochezi siku hz [emoji16] [emoji16]
Yaaani ugomvi huo achaaaa, Utasikia tumeshasoma tayari....Hahaha ukibadili channel unakuwa ugomvi
Hatari hatariNaupendaa[emoji7]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahah ww ni filimbi hlf mm ndio refa, hlf yuko criazi
Duh!!Hili ni bonde kubwa kwenye ikweta ya sayari ya Mars. Bonde hili linakadiriwa kuwa na umbali wa kilomita 4,000 ambao ni karibu na upana wa taifa la Marekani kutoka mashariki hadi magharibi.
Katika baadhi ya maeneo, bonde hili lina kina cha karibu kilomita saba (futi 23,000) - karibu mara nne kina cha bonde maarufu la Marekani ambalo kwa Kiingereza hufahamika kama Grand Canyon.
Ngoja tusubiri binti mpole[emoji16]Kabisa ndo nasubiria hio historia maana jamaa wana kelele mno
Sooon.Audio plz
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Aisee,numbisa mchochezi siku hz [emoji16] [emoji16]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Anapenda jezi huyu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]