ledada
JF-Expert Member
- Oct 4, 2015
- 17,468
- 67,492
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hautaumaliza hata huo mmoja[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] ntajaribu kusikiliza japo wimbo mmoja
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hautaumaliza hata huo mmoja[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] ntajaribu kusikiliza japo wimbo mmoja
[emoji16] [emoji16] [emoji16] Nmetoka kwenye kijana mpole hadi mjanja tenaKwema kabisa kijana mjanja,mzima?
Unamumunya na pumzi inapanda na kushuka..Mmmmhh! KAPA...Bazoka???
Mlangira ni nani? [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Na kujimwagia likes weuweee mbona mlangira kaweza[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ee jezi mbili mchezo hahaha[emoji16] [emoji16] [emoji16] Nmetoka kwenye kijana mpole hadi mjanja tena
Kwema binti mpole, mzima ww?
Hahaha ukibadili channel unakuwa ugomviZamani nakumbuka tulikuwa tunasimuliana hadithi hadithi, nipeni mji. Siku hizi madogo wanashinda sebuleni wanaangalia Ben Ten au Jack and Josh Nickelodeon. Hahahaha mimi nawaangaliaga nawaacha tu, unakuta hata habari huwezi angalia ukitaka kuangalia wanaanza kulia basi unawaacha. Hahahahaha dah!
Good old days,,,,,,,,Bulicheka, Alfu Lela Ulela, AbunuwasiNakumbuka ile hadithi ya Fikiri/ Sadiki na Chitemo nilikuwa nikiisoma yaani kama namcheki laivu Chitemo akiacha jembe na kutorokea kusikojulikana, pale samaki (sato) katengwa mezani mie nakahisi kama sipo darasani tena, mawazo yamehama kabisa.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kimdabuo
Akhu sikwambii najipenda miee wwe mtafute tu utamfahamuMlangira ni nani? [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Naupendaa[emoji7]Jessie Ware- Say you love me
Audio plzJessie Ware- Say you love me
Jiran napita tuu[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji818][emoji818][emoji16] [emoji16] [emoji16] ngoja waje wataalamu,watueleweshe vyema juu ya pipi hz za kumumunya hasa panapoingia giza
Hahaha uchokozi huoEe jezi mbili mchezo hahaha
Mzima kabisa nasubiria mchapo wa madrid na liver