Na kujimwagia likes weuweee mbona mlangira kaweza[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] utajiongelesha na kujijibu mwenyewe aiiii[emoji445] [emoji445]
[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] kawaida yako na maswali tata,hope atakuja na jibu hapoKwema mkuu?
Nimeamua leo niulize, kwa maana huyu ndugu yetu kila siku anamumunya pipi, si ataoza meno??[emoji23]
Mweeeh watoto wa siku hizi wanasomea vitabu vya rangi, kweli dunia imebadilika sana!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] pipi za jiran ni nyingine kabisaa za kuliwa usiku wa kuburudishanaOooh! Kumbe hamaanishi umumunyaji wa pipi ninazo zifahamu??? (Pipi ivory na nyinginezo)[emoji23][emoji23][emoji23]
Nitoe tongotongo mwenzio..
Namshukuru aliye juu..Uzima upo[emoji120][emoji120][emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] kawaida yako na maswali tata,hope atakuja na jibu hapo
Kwema kabsa mkuu, vp kwako?
Mmmmhh! KAPA...Bazoka???[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] pipi za jiran ni nyingine kabisaa za kuliwa usiku wa kuburudishana
Yaani wana raha sana watoto wa siku hizi,Mweeeh watoto wa siku hizi wanasomea vitabu vya rangi, kweli dunia imebadilika sana!
😀😀😀😀
Vizuri mkuu,hope umepewa darasa zuri juu ya hizo pipi [emoji16]Namshukuru aliye juu..Uzima upo[emoji120][emoji120]
Kueleweshwa kote nimetoka KAPA, hiki kichwa hiki[emoji30]Vizuri mkuu,hope umepewa darasa zuri juu ya hizo pipi [emoji16]
[emoji23][emoji23]
Wamefanyaje?Kuna watu
Picha ya Kibanga ampiga mkoloni ilikuwa haina rangi. Siku hizi hakuna viboko, hakuna kubeba mbolea, hakuna kulima shule. Mimi nakumbuka tulikuwa tunapeana zamu ya kuchunga mifugo na kulisha samaki za shule....Tunajifunza kilimo.! Hhahahaha siku hizi bila skulu bus watoto hawaendi shule.Yaani wana raha sana watoto wa siku hizi,
[emoji16] [emoji16] [emoji16] sikweli,, mbona kwenye exipiliensi ya ndoa ulielewa vyemaKueleweshwa kote nimetoka KAPA, hiki kichwa hiki[emoji30]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kimdabuoMmmmhh! KAPA...Bazoka???