Pyaar
JF-Expert Member
- Feb 11, 2018
- 17,275
- 80,330
Dah! Kibanga ampiga mkoloni, yaani ulikuwa ukisoma stori za vitabu vile enzi hizo unakuwa kama waangalia movie, siku hizi watoto wanasoma wanashindwa hata kujenga taswira ya kitu..Picha ya Kibanga ampiga mkoloni ilikuwa haina rangi. Siku hizi hakuna viboko, hakuna kubeba mbolea, hakuna kulima shule. Mimi nakumbuka tulikuwa tunapeana zamu ya kuchunga mifugo na kulisha samaki za shule....Tunajifunza kilimo.! Hhahahaha siku hizi bila skulu bus watoto hawaendi shule.