[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Hahah inaweza kuwa hvo, aje atuelezee vzr aisee
NdiooNa wenyewe wanatoa lakini?
[emoji23][emoji23]Hamna kituNini sasa [emoji16]
InshaAllahTumeshakuwa familia.
Familia yenye furaha,
Pengine sisi ni watu wenye furaha zaidi kuliko JF mambers wengine wote.
Humu tunafuraha sana ushahidi ni hii emoji([emoji23]) huwezi vuka page bila kuikuta.
Uzi wa kupeana likes umebakisha siku kadhaa kufikisha mwaka(uzi wa likes anniversary) nadhani itakuwa ni sherehe kubwa humu ndani, tuandae kamati ya sherehe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]lol.
Furaha huzaa upendo na upendo ni Mungu hivyo ukiwa na furaha na upendo ndani yako kuna uwepo wa Mungu.
Sababu Mungu haishi katikati ya chuki! Yeye ni Pendo tena upendo usio na mwisho.
Kusudi la Mungu kutukutanisha hapa pamoja, nimekuwa ni mtu mwenye wingi wa tabasamu mdomoni ninapo pitia post za members humu. Hata kama ninakuwa na mawazo ya hapa na pale yanapotea.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mungu bariki uzi huu, Mungu tubariki wana uzi.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Mkuu hilo mimi nililiona kweli yani dk mbili mbele na kawa msumbufu huyo mana kuna siku kaleta vicheko humu
shabiki wa Barcelona inabidi tu uhamie madrid kwa kasmart haina jinsi shiro[emoji23][emoji23]Hamna kitu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji28][emoji23][emoji28][emoji16] [emoji16] [emoji16] ngoja waje wataalamu,watueleweshe vyema juu ya pipi hz za kumumunya hasa panapoingia giza
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] duh avatar yangu pendwaSijui hata atabadiri lini hii avatar japo tupumzike na hv vicheko vyake
Oooh! Nimekuelewa.Unamumunya na pumzi inapanda na kushuka..
Utamu wa pipii....