Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kwenye swimming pool kila mtu ana muda wake wa kuogelea. Furahia muda wako ukifika kisha wapishe na wenzako waogelee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
View attachment 765168

Hizi swimming pool hizi, aah! Sipendi kabisa kuogelea kwenye hizi za public, wengine wanatema mate humo au hata kwenda number one! Acha tu watu tuwe wagumu! [emoji1][emoji1]
 
Hizi swimming pool hizi, aah! Sipendi kabisa kuogelea kwenye hizi za public, wengine wanatema mate humo au hata kwenda number one! Acha tu watu tuwe wagumu! [emoji1][emoji1]
Ukiona hivyo jenga ya kwako ila hata hiyo ukizubaa waogeleaji wadoezi watajirushamo tu. Na wadoezi wa aina hii ndo wabaya zaidi kwa sababu wenyewe hawaishii kutemeamo mate bali hata kukatiamo kimba kabisa na kupandikiza visamaki sugu ili kukukomesha.

Kwema lakini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…