[emoji23][emoji23], nini?Ukiona hivyo jenga ya kwako ila hata hiyo ukizubaa waogeleaji wadoezi watajirushamo tu. Na wadoezi wa aina hii ndo wabaya zaidi kwa sababu wenyewe hawaishii kutemeamo mate bali hata kukatiamo kimba kabisa ili kukukomesha.
Kwema lakini?
Uwe na swimming pool, usiwe nayo yote mamoja tu...[emoji23][emoji23], nini?
unga upi mkuu.
Hivi eeh?Uwe na swimming pool, usiwe nayo yote mamoja tu...
Matani ya Wakenya siyajui. Wewe gonga likes tu ili twende sawa...unga upi mkuu.
bado sekunde 30.Siku inaaga
Sawa...FULL TIME: Atletico Madrid 1-0 Arsenal (Aggregate 2-1).
Diego Costa 45'
Kwa heri Arsenal tutakutana tena mwaka ujao.
Ukiona hivyo jenga ya kwako ila hata hiyo ukizubaa waogeleaji wadoezi watajirushamo tu. Na wadoezi wa aina hii ndo wabaya zaidi kwa sababu wenyewe hawaishii kutemeamo mate bali hata kukatiamo kimba kabisa ili kukukomesha.
Kwema lakini?