Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji23][emoji23][emoji23]....

Ulitisha sana mkuu...
 
Utafanya maembe yaadimike ohooo [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Halafu kakuta mleta mada sio mtu wa kujibizana basi kabak anatawala mwenyewe
Mleta mada kafanya busara. Hata angejibu pale ilikuwa ni kazi bure tu...

Halafu itokee fyekero lake hili linaungwa na ya ID yake halisi unakuta ni SYB maweeeee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Nashangaa mods wameuacha uzi mpaka sasa..
 
Dah! Ngoja nami nibuni ya kwangu, yenye sura yangu.[emoji23]
Buni yenye lile jicho lako. Huko kwenye mabenki watakuwa wanabung'alia jicho we huku unasepa na hela [emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…