MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 21,775
- 71,893
Mwake mwake mkuu!Mambo vipi mkuu?
Mungu atabariki uione
Its so Hard to be humbleTell me who you loyal to
Do it start with your woman or your man? (Mmm)
Do it end with your family and friends? (Mmm)
Or you're loyal to yourself in advance?
I said, tell me who you loyal to
Is it anybody that you would lie for?
Anybody you would slide for?
Anybody you would die for?
That's what God for [emoji445][emoji445]
[emoji16] [emoji16] [emoji16] basi sawa shiro[emoji23] [emoji23] leo haendi shule Vanessa hayupo
God = Mungu (Mungu) [emoji818][emoji818][emoji818]
god = mungu (miungu)
Hahah!!
Siunajua tena kaka?
Nahisi ataangukia PSGHuu msimu wamemkazia sana!kila la kheri aendako aisee
[emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106]
Mzee wa Drive Angry niaje!Its so Hard to be humble
Its so Hard to be
Lord knows is im tyrin
Lord knows is im dyin
Hahha
NyashinskiManeno yao yasiniumize nifanye SUGU wewe wakitry kuntisha naomba NISITETEMEKEE.
END
[emoji4][emoji4][emoji4]Its so Hard to be humble
Its so Hard to be
Lord knows is im tyrin
Lord knows is im dyin
Hahha
Mungu katufanyia wepesi wa siku hii ya leo wacha tumsifu tu.Mwake mwake mkuu!
Hahaha nmejikuta nacheka, hlf nipo kwenye daladala,Mzee wa Drive Angry niaje!
MUNGU PEKEE.Nyashinski
Nasikia hivo aisee,kule ni kwao ni sehemu sahihi pia akapumzike kwenye mitaa ya Paris na MonacoNahisi ataangukia PSG
hakika kila kitu kipoAsante sana,
Uzi huu una kila aina ya mahitaji yetu,
Ucheshi upo
Elimu inapatikana hapa
Ulozi upo
Mitongozo ipo
Injili imejaa
Ilmu ipo
Dondoo za afya
Michezo
Unakumbushwa muda kila wakati
Cartoon zipo
Burudani zipo
Uongo upo
Maarifa ya kila aina yanapatikana
Nyimbo kila aina
Yaani ni kuingia tu!