MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 21,775
- 71,893
Ohhh Halleluya, Ubarikiwe sana Mtumishi wa Bwana!Mungu katufanyia wepesi wa siku hii ya leo wacha tumsifu tu.
Sababu Ukipata muda utumie VYEMA.
Time always tell something.
Ohhh Halleluya, Ubarikiwe sana Mtumishi wa Bwana!Mungu katufanyia wepesi wa siku hii ya leo wacha tumsifu tu.
Sababu Ukipata muda utumie VYEMA.
Time always tell something.
Basi kule akiwa na PSG ndoo atazibaba mpaka basiNasikia hivo aisee,kule ni kwao ni sehemu sahihi pia akapumzike kwenye mitaa ya Paris na Monaco
Audio [emoji4] [emoji4]
Huwa siuchoki huu wimbo jamaniiii
[emoji4] [emoji4]MUNGU PEKEE.
Poa mwana, mimi nafurahia FridayHahaha nmejikuta nacheka, hlf nipo kwenye daladala,
Kwema mkuu, za kwako?
[emoji23][emoji23][emoji23], mwafrika mtu mwingine kabisa...Sio kabisa[emoji23]Yap. Usicheze na Mwafrika aisee.
Unyantuzu kule iliwahi kuanguka helikopita ya jeshi zamani tena mnadani mchana kweupee. Rubani akang'ang'aniamo. Helikopita inawaka moto yeye kashikilia mavyuma ya mle. Kuja kumtoa kwa nguvu mzimaaa hajaungua ila haongei/hajitambui wakamsemesha weee halafu akafariki. Hata wiki haijaisha helikopita ile ikaonekana inapiga mzigo Gamboshi na hata watu ambao siyo wachawi wakawa wanaiona. Usicheze na Mwafrika aisee...
Hahah ila yule mzee mtu wa matumizi sana, mwanauchumi wa hali ya juuBasi kule akiwa na PSG ndoo atazibaba mpaka basi
[emoji3][emoji3][emoji3]
Wahenga wenzetu hawa, ila Nonii bado anakaza mzeePoa mwana, mimi nafurahia Friday
Hii ijumaa itakuwa vizuri, haya maandalizi ni moto, umeanza na Energy
Kenya kuna muziki mzuri sana, wasanii wake uwezo wao ni mkubwa lakini sijui nini kimewakuta....!Wahenga wenzetu hawa, ila Nonii bado anakaza mzee