mahatmaxlla
JF-Expert Member
- Nov 26, 2017
- 967
- 1,575
...
Sana,nahisi kuna sehemu wamekosea maana hata vijana wapya wanaochipukia kwa sasa bado pia wapo vizuri sana, wanaproduction kali, videos hata lugha pia, lkn kwa sasa wao wenyewe wanakili kukunwa na artist wanaotoka hapa bongo,Kenya kuna muziki mzuri sana, wasanii wake uwezo wao ni mkubwa lakini sijui nini kimewakuta....!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ingekuwa wewe hapo sasa, hii ngoma ingekesha! [emoji23][emoji23][emoji23]
Kweli bro anaweza kuhamiasha utawala kwa Monaco mana psg zao ni kuvunja kibubu sasa akienda na uchumi wake atatibua kila kituHahah ila yule mzee mtu wa matumizi sana, mwanauchumi wa hali ya juu
Sana,nahisi kuna sehemu wamekosea maana hata vijana wapya wanaochipukia kwa sasa bado pia wapo vizuri sana, wanaproduction kali, videos hata lugha pia, lkn kwa sasa wao wenyewe wanakili kukunwa na artist wanaotoka hapa bongo,
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]Hii ijumaa itakuwa vizuri, haya maandalizi ni moto, umeanza na Energy
hahaaa..nilijitoa ufahamu kidogo[emoji23][emoji23][emoji23]....
Ulitisha sana mkuu...
[emoji126] [emoji126]