Niko vizuri asee Mungu ni mwemaPoa sana ndugu, vp yako?
Ledada taja umri wako haraka
[emoji91]Chris Brown- Time for love
Nafurahi kusikia hivyo rafiki yangu....Niko vizuri asee Mungu ni mwema
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ledada taja umri wako haraka
Maana kwa mtaji huo ni wachache sana humu waliousikia wakiwa wanajitambua wakati wimbo huo ukitoka[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
45 mkuu
[emoji120] [emoji120] best yanguNafurahi kusikia hivyo rafiki yangu....
Ipi hiyo tena?[emoji120] [emoji120] best yangu
Ile match ni lini?
Unamjua Gilard ???Huu Uzi hatari sana huu
Uko sahihi mkuu na kuna wengine hata hawaufahamuMaana kwa mtaji huo ni wachache sana humu waliousikia wakiwa wanajitambua wakati wimbo huo ukitoka
Ile ya Liverpool na MadridIpi hiyo tena?
Umri unazidi kwenda