ho chi minh
JF-Expert Member
- Sep 27, 2016
- 32,904
- 163,077
Umefail mzeeWamefeeeli
[emoji102]Jipende na upende
Tukumbuke kulike ndio lengo la huu uziNaona mmeanza kujisahau kulike sina likes kbs bonyezeni hizo likes
Hahaahaaaa niaje mama.Kwamba leo haurudi nyumbani ,umeniacha au umenipa likizo?
Kwema mvaa kanzu nyeusi kwenye jua jaliKichwa kichafuuuuu
Like sasa au unataka kujua kitakachokutokeaTukumbuke kulike ndio lengo la huu uzi
Nimeimba hadi sauti inataka kukaukaHajakuimbia wimbo wa Jojina?
Ni gari au nini hiyo?Suzuki scania wapi
buzitata kapotea kweliBuzi tata wapi
I hate ugomvi
Hiiyooo gaaariNasikia umenunua gari mgongo wa chura mtaani hawakai kwa sifa zako
Pokea likes zakoSausages
Mvumilie, utu uzima dawa. Atakuwa anautafakariNimeimba hadi sauti inataka kukauka
Ila hajanielewa