Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,984
- 189,583
Hiyo ndio kanuni yangu kusambaza likes tu kwenye huu uzi.Like sasa au unataka kujua kitakachokutokea
Kiroho safi nakuchapa likes
Hiyo ndio kanuni yangu kusambaza likes tu kwenye huu uzi.Like sasa au unataka kujua kitakachokutokea
Anaitwa naniNimemkumbuka miss TZ wa mwaka jana
Two luvOne luv
ISIS ulilala sangap?
Kula like coco
Hahahahaha.Hiiyooo gaaari
Eeee mmmmm eeeee niii kweli niiinayo,
Kuna bwana mmoja toka ufipa anaihitaji sana,
Ameniahidi tubadirishane nimpe mgongo wa chura yeye ana Toyota V8 landcruiser.
Toa ushauri.