cocochanel
Platinum Member
- Oct 6, 2007
- 29,011
- 79,226
Clouds fm
Mimi mzima wa afya tele,karibu tuanze mazoezi ya 70k ndo lengo la leo
Huyo mzee amenunua mgongo wa chura mtaani amekuwa gumzoho chi minh nakuona mkuu
Hahahahaha![]()
Habari za safari Andjul, hongera kwa safari,
Nakuona ukiwa mitaani hapo Shinyanga
Amelala sasa maana tulimuacha jana humuSHIMBA YA BUYENZE, simba mwenda kimya... mnyatiaji wa vikinikia
Kabla ya jioni 70k tutakuwa tumeisahauNaona lengo leo litatimia haswaaaaaa