Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

IMG_20180504_152055_127.JPG
 
Dk Kuganda anaitaja changamoto nyingine kuwa ni migogoro isiyokwisha kwenye jamii inayomzunguka, kazini, nyumbani na kwenye nyumba za ibada.

Anasema pia katika jamii ambayo inaamini mwanamke asipoolewa hana maana na haheshimiki ni changamoto .

Mtalaamu huyo anasema changamoto nyingine ni aina ya maisha ikiwamo ulevi, ulaji usiozingatia taratibu.
 
Aina za maradhi ya afya ya akili

Dk Kuganda anazitaja dalili kuu mbili za maradhi ya afya ya akili akisema zinatofautishwa na mambo mawili.

Jambo la kwanza ni kufanya mambo yasiyo ya kawaida makubwa na yasiyo ya kawaida lakini madogo.

“Kwa mfano, mtu mzima anacheza ngoma hadharani, ameweka nguo kichwani badala ya kuzivaa, mwingine anacheka peke yake,” anasema.
 
Dalili zake

Anazitaja dalili kubwa tano za maradhi ya afya ya akili ikiwamo kuhisi, kugusa, kuona, kusikia na kunusa.

Wapo wanaohisi kuwashwa, kutembewa na vitu ambavyo havipo au kuhisi anakimbizwa.

Anasema kuna watu wengine wakila chakula huhisi harufu tofauti na iliyopo muda wote wakila wanatema
 
Anaongeza kuwa hisia potofu ni pamoja na imani za ajabu ambazo haziendani na mila, tamaduni au desturi za jamii kama vile yeye ni mtu maarufu, au anaamini kuwa yeye ni nabii au bila yeye hakuna kitakachofanyika.

Dk Kuganda anasema mtu huyo anaweza kusikia watu wanamzungumzia, redio au runinga zinaiga mambo anayopaswa kuyafanya yeye na hata kupiga kelele kuwa kuna mtu usalama wa taifa anamkimbiza.
 
Anaweza kusema fulani ananiroga, hilo halina shida lakini ili ujue kuwa akili ina shida matendo atakayoyafanya kuhusu madai hayo ndiyo yatakupa jibu kuhusu utimamu wa akili yake,” anasema.

Mtalaamu huyo wa afya anasema wapo wanaohisi kuwashwa na kutembewa na vitu ambavyo havipo.

“Kwa mfano wanaotumia mihadarati muda wote wanajikuna kama kuna vitu vinawatembea, kiuhalisia hakuna kitu kinachowatembea wala kuwawasha.
 
Wengine huhisi ladha tofauti na ndiyo maana wakila chakula huhisi harufu tofauti na iliyopo, muda wote wakila wanatema,” anasema Dk Kuganda.

Kwa watoto

Dk Kuganda anasema yapo, lakini mara nyingi husababishwa na watu wengine.
 
[emoji23][emoji23][emoji23] sasa unataka kunichekesha zaidi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Anasema watoto huathiriwa na maisha ya familia wanazoishi jambo linalosababisha akili yao kupata shida na kuchanganyikiwa. “Ukiachilia wale waliozaliwa hivyo kwa sababu za kibaiolojia kama nilivyosema hapo mwanzo, watoto walio wengi familia zao huwasababishia kupata maradhi haya,” anasema Dk Kuganda.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Aliyeanzisha huu mchezo ana tabia mbaya khaaa sijui nani huyo kicheko chote hiki[emoji23] [emoji23]
 
Aliyeanzisha huu mchezo ana tabia mbaya khaaa sijui nani huyo kicheko chote hiki[emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wewe huyo
 
Back
Top Bottom