ASANTE kwa kuiondoa ile avatar ya kabinti kale kakorofi. Mpaka nimetabasamu aisee [emoji16][emoji16][emoji16]Kwan mlikua hampumziki?
hiyo hiyo mkuu ..kama umeshawahi kukimbiwa na mke unaweza ukalia....hahaaaNi ile korean series?
Hahah kile kibinti kilikuwa kikorofi sanaASANTE kwa kuiondoa ile avatar ya kabinti kale kakorofi. Mpaka nimetabasamu aisee [emoji16][emoji16][emoji16]
Ilikuwa shida sana...Kuna avatar yaani inakupa vibe mbaya na hata kukuharibia mood kabisa [emoji16][emoji16][emoji16]Hahah kile kibinti kilikuwa kikorofi sana
One of mafav korean series,,kuna sehemu unaweza toa chozi,dah hawa wanawake basi tu mkuu,,hiyo hiyo mkuu ..kama umeshawahi kukimbiwa na mke unaweza ukalia....hahaaa
mnooo lazima ulie ..hahaaa Jamaa anapatwa na shida sana aisee.....tafuta pesa chiefOne of mafav korean series,,kuna sehemu unaweza toa chozi,dah hawa wanawake basi tu mkuu,,
[emoji16] [emoji16] [emoji16] kilio chetu sir God amekisikia hatimaye amebadiri dah,, kilijaa uchochezi, ukorofi humo humo, basi shida tupu humuIlikuwa shida sana...Kuna avatar yaani inakupa vibe mbaya na hata kukuharibia mood kabisa [emoji16][emoji16][emoji16]
kwenye ubora wao