Nigendako
JF-Expert Member
- Dec 1, 2017
- 23,296
- 122,446
Hahah pesa Tunatafuta mkuu, ww mwenyew si umeona yule jamaa alivokuwa anahustle muda wote ule hadi kumsomesha bi dada, lkn wapi mwsho wa siku jamaa akazinguliwa kumbe bi dada anaambition zake mwenyewmnooo lazima ulie ..hahaaa Jamaa anapatwa na shida sana aisee.....tafuta pesa chief