Hahah pesa Tunatafuta mkuu, ww mwenyew si umeona yule jamaa alivokuwa anahustle muda wote ule hadi kumsomesha bi dada, lkn wapi mwsho wa siku jamaa akazinguliwa kumbe bi dada anaambition zake mwenyewmnooo lazima ulie ..hahaaa Jamaa anapatwa na shida sana aisee.....tafuta pesa chief
[emoji23][emoji23][emoji28], kwema?
[emoji23][emoji23][emoji28], kwema?
daaahh acha tu"" iliniuma sana " lakini ile kama bongo tu mkuu"" yule alikuwa anahangaika kumsomesha mpenzi ....hahaaHahah pesa Tunatafuta mkuu, ww mwenyew si umeona yule jamaa alivokuwa anahustle muda wote ule hadi kumsomesha bi dada, lkn wapi mwsho wa siku jamaa akazinguliwa kumbe bi dada anaambition zake mwenyew
[emoji16] [emoji16] [emoji16] eti yuko bleeding?
hahaaa manina nduguze watanikuta central
Hahaha dah haya mambo yapo dunia nzima mkuu,, inabidi uwe mpole tu,, mapenzi hayalazimishwi yanakuja yenyew tudaaahh acha tu"" iliniuma sana " lakini ile kama bongo tu mkuu"" yule alikuwa anahangaika kumsomesha mpenzi ....hahaa
Niko poa kasmart za kwako?Uko poa shiro
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]Hahahah mie simoo
Blessing bro!!Wakuu. Leo niko bize mbaya. Nitakuja baadaye kugawa likes. Kila mtu atapata haki yake. Blessings [emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️
Niko poa kabsa, za weekend shiroNiko poa kasmart za kwako?
Huku kwema poti. Huko vipi? Wikendi imeanzaje? Bata Batazi leo wapi?[emoji23][emoji23][emoji28], kwema?