Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mmh jaman mbona jezi haijabadilika kama yako,ipo siku tu na mie ntakua na jezi mpya mpya,daah nimepitia comments za nyuma mulangira kajimwagia milaikes hadi raha post moja ana likes 16,14,13 wakati akina sie tunazo 5,7,8 tu
Hahahha mi na jezi moja tu,,
Huyo mulangira ndo balaa, kapigwa ban kula akaja na jezi nyingine hahaha
Mambo ya jezi haya hatari tupu
 
[emoji23][emoji23][emoji23] mkuu sio kweli bhn... bro is still alive
Bro wako anazingua,km ndo White house anatafuta kwa njia ile, inabidi ajipange upya
meekmill-20180502-0001.jpg
 
Serikali ya Burundi Ijumaa imetangaza kusimamisha matangazo ya mashirika mawili ya habari ya kimataifa kwa muda wa miezi sita kuanzia Jumatatu ya Mei 7.

Mashirika yanaotarajiwa kuathiriwa na hatua hiyo ni shirika la utangazaji la Sauti ya Amerika (VOA) na Shirika la Utangazaji la Uingereza (BBC). Sababu za kusimamishwa ni “kushindwa kuzingatia sheria za utangazaji” na “kukiuka maadili ya kazi”.
 
Nchi nyingine inayoamua kuchukua uamuzi wa kusitisha shughuli za mashirika ya utangazaji ya kimataifa ni Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo (DR Congo) kutokana na uhusiano baridi na Radio France International (RFI) na Radio Okapi inayoungwa mkono na Umoja wa Mataifa.
 
Back
Top Bottom