[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kuna mapenzi hadi watu kuzimia alafu huko ni kuonana tu... Sasa nini siwatakufa hawaView attachment 765687
Ilikuwa shida sana...Kuna avatar yaani inakupa vibe mbaya na hata kukuharibia mood kabisa [emoji16][emoji16][emoji16]
Hahah kile kibinti kilikuwa kikorofi sana
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ndio kwa ile avatar,,tulikosa amani kila mara ulikuwa unaamsha na yale mambo ya jezi mbili
[emoji16] [emoji16] [emoji16] kilio chetu sir God amekisikia hatimaye amebadiri dah,, kilijaa uchochezi, ukorofi humo humo, basi shida tupu humu
[emoji16] [emoji16] [emoji16] Hope kwa jezi hii utakuwa mpole km jina lako[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ah wapi,avatar chochezi ile, ukorofi pia vicheko vya kishari shari tu, tupumzike sasaMnaionea avatar bomba ile
Atakua mchaga huyu,
Mkurugenzi huyo hakusema ni kiasi gani West anapata kutokana na ubunifu wake. Katika akaunti yake ya Twitter hivi karibuni, West alielezea jinsi raba yake aliyobuni ya Yeezy ilivyokuwa na faida.
Katika hatua nyingine, mwanamuziki wa rap, Snoop Dogg amesema West wa sasa ni mzungu na kwamba yule wa zamani ameshakufa na kutuma picha aliyoihariri inayomuonyesha rapa huyo akiwa na nywele za kahawia.
Mmh jaman mbona jezi haijabadilika kama yako,ipo siku tu na mie ntakua na jezi mpya mpya,daah nimepitia comments za nyuma mulangira kajimwagia milaikes hadi raha post moja ana likes 16,14,13 wakati akina sie tunazo 5,7,8 tu[emoji16] [emoji16] [emoji16] Hope kwa jezi hii utakuwa mpole km jina lako