Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

INGEKUWA klabu zetu hapa, ukihama inakuwa uhasama hasa ukiwa unakipiga kwelikweli. Kwa kawaida, unapoondoka kila mmoja hana habari na wewe. Iko tofauti kwa wanaofahamu maana ya uungwana mchezoni, kwamba michezo ni furaha.
 
Mchezaji huyo aliyekuwa akiichezea Roma kabla ya kutua Merseyside msimu uliopita, aliwatungua mara mbili na kutengeneza mabao mawili kwa Sadio Mane na Roberto Firmino. Salah alirudi Stadio Olimpico juzi, lakini safari hii akiwa na Liverpool na timu yake ililala kwa mabao 4-2.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…