Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

KOCHA wa Real Madrid, Zinedine Zidane amemwangalia kocha wa Liverpool, Jurgen Klopp anavyoshangilia, akatikisa kichwa na kumwambia, Fainali ya Ligi ya Mabingwa yoyote anaweza kufungwa na si ya kujipangia matokeo.

Liverpool na Real Madrid zitacheza fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya, Mei 26 kwenye mji wa Kiev, Ukraine baada ya kufanya vyema katika mechi zao.
 
Madrid ilifuzu fainali baada ya kuiondosha Bayern Munich ya Ujerumani kwa jumla ya mabao 4-3. Ilishinda mabao 2-1 mchezo wa kwanza kabla ya kutoka sare ya 2-2 mpambano wa Santiago Bernabeu.

Zidane alisema kuwa kuingia fainali hakuihakikishii timu kutwaa ubingwa.
 
Katika soka, lazima ufungwe,” Zidane alisema. “Huwezi kucheza fainali bila kufungwa. Cha kwanza ni kufungwa, kama ukitwaa ubingwa inapendeza zaidi.

“Madrid huwa hatukati tamaa.

Hata aje nani, Tunaamini kile tunachokifanya, na tunaamini kwa kuamini kwetu tutafanikiwa.”
 
Alberto Moreno ametoa ofa ya mfungo wa Ramadan kwa mchezaji mwenzake wa Liverpool, Mo Salah kuelekea katika mchezo wa fainali ya Ligi ya Mabingwa dhidi ya Real Madrid.

Mo Salah amekuwa na mchango mkubwa Liverpool msimu huu baada ya kuiongoza kufuzu kwa fainali ya Ligi ya Mabingwa.
 
Salah atakuwa katika ya mfungo wa Ramadan wakati watakapocheza na Real Madrid katika fainali itakayochezwa Kiev hapo Mei 26.

Bahati kwa Liverpool na Salah baada ya mchezaji mwenzake Alberto Moreno kuamini analojibu ambalo linaweza kutatua tatizo hilo.
 
Mchezaji bora wa mwaka mara mbili Salah atakuwa kwenye mfungo kuanzia Mei 14 hadi Juni 14, kipindi ambao Waislamu wote watakuwa wamefunga kula na kunywa kuanzia asubuhi hadi jioni jua linapozama.

Beki wa kushoto Moreno aliimbia radio EL ya Hispania: "Nafikiri Salah atakuwa akifanya mazoezi kwa asilimia 20, kwa sababu ya kuogopa kuumia.
 
Mikato yangu hii mkuu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hongera mkuu sisi tunabugia fikra tu
 
Sasa ni Ramadan, nitakuwa nakula na kunywa, hicho ndicho kitu ninachoweza kufanya kumsaidia!"

Mshambuliaji huyo wa Misri, Salah (25), ameshinda mbili mwaka huu tuzo ya PFA inayotolewa na wachezaji pamoja na ile tuzo ya wanahabari ya FWA.
 
Hadi sasa msimu huu amefanikiwa kufunga mabao 43, na kutengeneza 13.

Lakini hakuwa na usiku mzuri wakati alipocheza dhidi ya klabu yake ya zamani Roma Jumatano iliyopita wakati Livepool ilipokubali kipigo cha mabao 4-2, na kusonga mbele kwa ushindi wa jumla wa mabao 7-6.
 
IMG_20180403_122450_362.jpg
 
MASTAA wawili wa Afrika, Sadio Mane na Mohamed Salah wamefanikiwa kuifikisha Liverpool katika pambano la fainali Ligi ya Mabingwa wa Ulaya msimu huu. Endapo Liverpool itachukuwa ubingwa huo, Mane na Salah wataingia katika rekodi ya Waafrika hawa waliowahi kutwaa taji hilo barani Ulaya…
 
Back
Top Bottom